Mapenzi ni nini? Mashangazi mlioko huku nisaidieini maana ya mapenzi, tafadhali!!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,930
14,827
Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa

Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo,

Baada ya kumaliza Utambulisho mashangazi wakamwita biharusi kumwuliza adje tena?

Mtoto wa kaka: oh me nimempenda ivyo ivyo alivyo

Mashangazi wakambana sana, why kibao, adje mwanakwetu?

Mtoto wa kaka: kusema kweli aunties, nimeteseka sana kwenye mapenzi ila kwa huyu kaka, ameninyoosha

Mashangazi: adjeee?

Mtoto wa kaka: me hata sielewi kama nampenda au la ila buana kitandani yulo vizuri??

Mashangazi: adjeeee?

Mtoto wa kaka: katika wanaume wooote nimekutana nao, huyu pekee ndio anajua kuutumia mdudu

Mashangazi: adjeeeee? Shangazi mbona mkwee ako na sura speshoo?

Mtoto wa kaka: kusema kweli aunties, me sielewi kabisa, hata sura sijaangalia,
Maana huko kitandani ananihudumia njema mpaka nahisi akili inahama, nakuwa dunia yangu mwenyewe

Sielewi mapenzi ni nini jamaan, mapenzi ni sura, roho au mb.o.o?

Haya mashangazi nawaita mje mumsaidie mtoto wa kaka

Je mapenzi ni nini?

Kuna aunty hapa amesema mapenzi ni u.bo.o. ...... kiru
 
Anayeolewa mtoto wa kaka au mashangazi?
 
Hili ni jibu la Socratic method.

Nimekujibu ila wewe ndiye hujajua jibu.

Anayeingia kwenye ndoa ndiye anaamua amependa nini, na kila mtu ana nafasi ya ku define mapenzi ni nini. Mapenzi si equation ya hesabu useme yana jibu moja.

Tatizo lenu mnataka kuwa na jibu moja sawa kwa wote.
Sa hapo ushajibu
Ulikuwa unazuga zuga nini sa?
 
Huu uwasiliwishaji wako wa mada unanikera hivi kwanini kila mada yako lazima uwe na majibishano kwanini unashindwa kuwa direct?
 
Ili usikereke anzisha uzi wako ambao ulo direct basi
Doh
Kweli nyani haoni ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom