Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,363
4,559
Mungu awe nanyi,

Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi?

Hii ndio habari ya Dunia kua uyaone, ya one yakutese.

Kichwamoto nawaka moto
 
Umetumia mfano mzuri. Kitunguu swaumu kichungu ila kitamu. Kikishaivia kwenye mboga aaaaaah burudani!

Mapenzi sio machungu nakuhakikishia. Uchungu unakuja ukianza kutafuta asie wa size zako. We kama huna kitu kamata pisi ya street tu na dela lake bila chupi ishi nayo kiupole. Itataka hela yes ila buku 3 maximum faivu sauzandi.

Asa we mwenzangu hali yako ka yangu unaenda tongoza pisi mlimani siti kweli bro?
 
Yesu tusaidieeee tu
20240502_092625.jpg
 
Wenzako tunatongozaga mahousegirl hawana gharama ..

Utata akishakutana na bodaboda basi ndo unakuwa umashaachwa hivyo .
 
Umetumia mfano mzuri. Kitunguu swaumu kichungu ila kitamu. Kikishaivia kwenye mboga aaaaaah burudani!

Mapenzi sio machungu nakuhakikishia. Uchungu unakuja ukianza kutafuta asie wa size zako. We kama huna kitu kamata pisi ya street tu na dela lake bila chupi ishi nayo kiupole. Itataka hela yes ila buku 3 maximum faivu sauzandi.

Asa we mwenzangu hali yako ka yangu unaenda tongoza pisi mlimani siti kweli bro?
Umeongea vizuri ila dela bila chupi haupo sahihi, hao wasaizi wapo mtaani na wapo na tabia nzuri tu kabisa wife materials.

Mimi nanae huyu mwezi wa pili huu ajaniomba hata Shilingi 10 ila vipesa nampa tu nikiwa na 1000, 2000 kubwa kumpa ni 3000 Week hii nikipata mshiko ndio nategemea kupa 20,000 kwanza nauhakika atabigwa na butwaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom