Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,946
45,923
Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa.

Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo unawapata wapenzi wengi ndani ya muda mfupi so ile esteem ya kuwa na mke unaweza kupokonywa na simu Kwa sababu unafuatailia sana macho hayashibi uzinzi. Matokeo yake simu inakuwezesha kuejaculate a lot of sperms hii haiwezi ikasababisha ugumba?

Unaweza kujikuta umekuwa mvivu hata wa kujifanyia usafi Kwa sababu ukiwaza ule muda unafua au unaoga au unapigwa mswaki inatakiwa muda huo mikono iwe imeshika simu kusoma thread au kucheck reels yaani tuna addiction ya hatari. Hii addiction ya simu sio kwa mtoto wala mzee wote tumezolewa.

Ila ndo kifaa hicho hicho kinachotupa kazi, hela, Michongo, furaha, Raha, umoja, elimu, amani, maarifa, kujiamini, kujua, yaani mtu tu mwenyewe ujiwekee limit kwamba kuna vitu hata iweje simu haiwezi ikatupa direct Kwa mfano mazoezi ya viungo, kuna mahusiano, kuna Meditation, mfano wa hivyo vitu nako ni muhimu inatakiwa uvitengee muda wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom