Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,488
- 4,953
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.
NB:Kwa wanaohitaji picha; Huwa sipendi kuforward au kusave vitu vinavyonikera. Sorry for that. Mwingine anaweza kutuma kwa niaba