Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,728
- 9,016
Thread was deleted
Ilitokea pia kwangu kuwasiliana nao wakasema salio limelipia huduma nilizowahi kujiunga japo sikumbuki kama nishawahi kujiunga hizo huduma. Then wakanitoaKipi kinaendelea?
Je kuna ambaye ame athirika na hio hali kama mimi??
Au nilikuwa nadaiwa bila kujua (Huwa sikopagi salio)
What is going on??
------------------------------
Sikuwa na namna ikabidi nitafute hako ka 200 kwengine nifanikishe azma yangu ya kujiunga kifurush cha 1500 kama nilivyokusudia
View attachment 2379028
HashughulikiNape yuko bize kulamba asali tu
Hawa kuna la maana gani watakwambia?Ungeongea na Vodacom huduma kwa wateja kwanza, kabla ya JF
Ndio hivyo . Hawawez ku admit wamechukua pesa yakoHata mimi wamewahi kunikata salio hao Voda na Halotel kuwapigia wanasema kuna huduma nilijiunga.
Huduma unaungwa bila hata kufahamuIlitokea pia kwangu kuwasiliana nao wakasema salio limelipia huduma nilizowahi kujiunga japo sikumbuki kama nishawahi kujiunga hizo huduma. Then wakanitoaView attachment 2379076
Wapigie VODACOM huduma kwa wateja..... naamin majibu yao yatakuwA umejiunga na huduma zao hizo sijui SOKA n.k we wachane tu naombeni mniondoleee huduma nisizozielewa na matangazo
🙌🙌Kesho nikamalizia na ofisi nikawaambia nisone text yoyote ya offer sijui ya muito,mziki
Wanakera unaweza kuwatukana matusiUngeongea na Vodacom huduma kwa wateja kwanza, kabla ya JF