12345609 New Member Jan 30, 2024 4 2 Mar 5, 2024 #1 Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
Melki Wamatukio JF-Expert Member May 3, 2022 5,830 10,041 Mar 6, 2024 #2 Wanaokushangaa ukiangalia katuni ni vijana waliojawa na uoga wa maisha
Dr Lizzy Platinum Member May 25, 2009 30,909 59,892 Mar 6, 2024 #3 Baadhi ya vitu haupaswi kuvitilia maanani. Kuna watu hujidai wao ni akili kubwa kwasababu hawafanyi a au b, ila ni akili ndogo tu!
Baadhi ya vitu haupaswi kuvitilia maanani. Kuna watu hujidai wao ni akili kubwa kwasababu hawafanyi a au b, ila ni akili ndogo tu!