Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,945
45,920
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama Singida au Dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa.

Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu, unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama Mbinga au Songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo, hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama Makonda, Mtaka, Chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
 
Hao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela, hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.

By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.

Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.

Kingine inabid uwe Makini Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi?

Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikini zaidi nchini.
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Nadhani mtwara inaongoza Tanzania kwa uvivu! Ni sehemu pekee ambako saa moja asubuhi unakuta wanaume wanacheza bao au wapo kwenye vijiwe vya kahawa.

Ni sehemu pekee maisha ya wenyeji wanashindia mlo mmoja na wanaona ni sawa. Ni sehemu pekee ambako hata ukitoa kibarua mwenyeji ukisha mlipa elfu 3 harudi kazini hadi aitumie iishe . Ni sehemu pekee ambao vikongwe ndio wanaenda shambani vijana wanazurura mtaani

. Ni sehemu pekee ambako mtu akilima robo heka anahadithia nina shamba kubwa. Ni sehemu pekee ambako wafanya biashara wenyeji wameridhika wanafungua maduka saa nne asubuhi. Ni sehemu pekee ukienda duka la mwenyeji na elfu kumi ukitaka kununu kitu cha elfu 4 unaambiwa sina chenji na unaondoka na hela yako vinginevyo ukatafute mwenyewe chenji.

Tunashkru wakinga kuingia mji huu vinginevyo tungenyanyasika sana na hela zetu madukani. Ila kwa penzi na chumvi ni mkoa rafiki kuliko mikoa yote. Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
 
Hao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela , hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.

By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.

Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.

Kingine inabid uwe Makin Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi.

Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikin Zaid nchini.
Ila kweli maana ikitajwa mikoa maskini sana haipo, utaskia Kagera, Katavi, Tabora, Mara, Rukwa.
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Ingawa Tanga ona afadhali.
 
Hivi ushawahi sikia mkoa wa Pwani una njaa wanahitaji msaada wa chakula?
Ushawahi sikia Pwani moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania?
Umewahi kusikia Pwani watoto wana utapiamlo?
Uvivu huu mnaozungumzia walio nao mkoa wa Pwani (pwani per se) ni uvivu gani?
Au ni uvuvi ndio mnachanganya na uvivu?
 
Acha kuwatetea hao wavivu..

Mkoa upo karibu na Dar ila wana umasikini wa kufa danganya ambao hawajatembelea huko Rufiji, Bagamoyo vijijini n.k

Mkoa wa Pwani kama ungekuwa unakaliwa na watu kama wa Mbeya ungekuwa zaidi ya hapo.

Kingine mshukuru mungu mkoa wa Pwani viwanda vingi vimejengwa wameajiri sana watu wa Pwani. Mkuranga Kuna viwanda vingi. Kinyume na hapo ingekuwa shida.

Chalinze miaka na miaka hakuna lolote la maana zaidi ya vijana kuuza mahindi ya kuchoma kwenye mabasi ya mikoani.
 
Hivi ushawahi sikia mkoa wa Pwani una njaa wanahitaji msaada wa chakula?
Ushawahi sikia Pwani moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania?
Umewahi kusikia Pwani watoto wana utapiamlo?
Uvivu huu mnaozungumzia walio nao mkoa wa Pwani (pwani per se) ni uvivu gani?
Au ni uvuvi ndio mnachanganya na uvivu?

Ukaribu wa Pwani na Dar es Salaam, inaisaidia sana Pwani...

1. Pwani hakuna Kilimo cha kutosheleza kulisha mkoa wao, mashamba mengi ni robo au nusu heka.

2. Pwani, miji yake mikubwa (Vikindu, Kisarawe, Kibaha, Bagamoyo) ni karibu na Dar. Watu wengi wanafanya kazi Dar kuliko ndani ya mkoa.

3. Pwani inalindwa na Mradi mkakati wa viwanda, wa Serikali....

Ukiondoa hizo hapo juu, Pwani watu wake ni wavivu....

Mkoa una mapori kama yote.
 
Acha kuwatetea hao wavivu..

Mkoa upo karibu na Dar ila wana umasikini wa kufa danganya ambao hawajatembelea huko rufiji, bagamoyo vijijini n.k

Mkoa wa pwani kama ungekuwa unakaliwa na watu kama wa Mbeya ungekuwa zaidi ya hapo.

Kingine mshukuru mungu mkoa wa pwani viwanda vingi vimejengwa wameajiri sana watu wa pwani. Mkuranga Kuna viwanda vingi. Kinyume na hapo ingekuwa shida.

Chalinze miaka na miaka hakuna lolote la maana zaidi ya vijana kuuza mahindi ya kuchoma kwenye mabasi ya mikoani
Lete facts mkuu.
Kama umasikini hata Dar ni masikini sana. Dar ina umasikini kwanza ambao haujaisha ndio unataka Pwani ilingane na Dar kimaendeleo?

Haya Pwani wavivu, Singida, Rukwa, Kigoma nako ni nini kimewapata?

Halafu usiongee sana, Wasukuma wanahamia kwa wingi Pwani. Wanadhani wakazi ni wavivu. Wakifika mtu mmoja analima heka nyingi akidhani ni rahisi kutunza shamba. Wanagundua ardhi na majira ya Pwani si kama kwao usukumani. Pwani inapokea mvua nyingi, palizi ni nyingi, magugu yanaota after 2 weeks hata upulize dawa gani. Ndipo wanajifunza kulima kwa akili badala ya nguvu.

Haya tuambie, watu wa Mbeya wangefanya nini Pwani?
 
Back
Top Bottom