uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 5,875
- 10,909
Jana tumeona mechi ya Yanga na JKT ikiahirishwa maana uwanja ulikuwa haitamaniki maji, kila sehemu na utelezi wa kutosha (bila shaka JKT walitaka wachezaji wa Yanga waumie).
Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na CCM Kirumba japo sina uhakika.
Leo mvua ni kubwa kuliko jana, sijui mikoani hali ikoje ila mechi zilizobaki zingepigwa chamazi, Mkapa, kaitaba, labda na CCM Kirumba japo sina uhakika.