Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,644
13,022
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.

Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na bayana kabisa, hapatakua na uzito wala tashwishwi yoyote dhidi yake. Tuwe wangwana, tuwe wakweli tu, mwenyekiti wa chama hicho kwa sasa, ana nafasi kubwa zaidi ya mtu mwingine yeyote ndani ya chama hicho, kupererusha bendera ya ccm katika nafasi ya urais.

Ana sifa zote stahiki na tukuka, ana uzoefu wa kutosha kuongoza nchi, ni mzalendo asie na shaka, muadilifu na makini sana. Kwakweli anakidhi vigezo vyote na masharti yote muhimu kulingana na katiba ya CCM.

Hali hiyo ya ushindi ndani ya CCM itadhihirika na kutokea pia kwenye uchaguzi mkuu, kutokana na hali unyonge sana kutoka kwa washindani wake dahifu sana na waliokata tamaa mapema sana. Na hiyo haitakua excuse ya ushindi wa kishindo, kwa mgombea wa CCM.

Kimbembe, songombingo za kabokamchizi, sarakasi na vitimbi vitakua kwenye nafasi za ubunge na udiwani.

Macho na maskio ya watanzania yataelekezwa huko, ili kujua mbivu na mbichi miongoni mwa wabobezi, wasomi, wanamageuzi na manguli mahiri ya siasa za ccm na tanzania kwa ujumla, wakichuana na kutunishiana misuli, kwa kushindanisha sera zao, mipango yao na mikakati yao katika kuchochea maendeleo ya wanainchi, na mbinu watakazotumia kudeal na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazowakabili wanainchi wa maeneo mahalia.

Uchaguzi huu muhimu sana wa nchujo au kura za maoni utakapokamilika, basi ccm na nchi kwa ujumla, kwa asilimia fulani itakua inapumua vizuri na imeshajua uelekeo wake kwa siku za usoni kuelekea uchaguzi wa kukamilisha ratiba.

Watakao fanikiwa kuchaguliwa na kuteuliwa kwenye kura za maoni, kupeperusha bebdera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu, kwa nafasi za udiwani na ubunge, wataungana na mgombea uraisi madubuti na makini sana wa CCM katika kukamilisha ratiba ya uchaguzi mkuu kwa mujibu wa kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi; kwa kupambana na washindani waliopo ambao ni wanyonge sana, na wengi wao pia wanalenga tu kutimiza haki yao ya msingi ya kuomba kuchaguliwa na ndoto zao za muda mrefu, za walau hata kugombea tu uongozi katika uchaguzi mkuu, regardless ya kushindwa vibaya, na kukamilisha ratiba ya uchaguzi kikatiba.

Katika chaguzi za mchujo zilizopita, ndani ya ccm hali hii hujitokeza, lakini mwaka ujao wa uchaguzi ndani ya CCM, hali itakua ni moto sana na kwakweli patakua hapatoshi, itakua ni patashika nguo kuchanika.

Hakuna lelemama hata kidogo ndani ya ccm imara, jipange.

No retreat no surrender
 
Ila naomba tu kuwa kura za wajumbe zizingatiwe na kuangaliwa vizuri.maana ile ya kumchukua mtu amepata kura 6 na kushika sijuwi nafasi ya ngapi huko .na kumuacha aliyepata kura karibu mia 3 inakuwa haipendezi na inawakatisha tamaa wengi na kuonyesha kuwadharau wajumbe ambao ndio wanawafahamu vyema wagombea na kujuwa ni nani atakuwa msaada kwa wananchi na nani anakubarika kwa jamii .na ambaye anazijua vyema shida za watu na rekodi nzuri na atakuwa nao karibu wakati wote.

Sasa huyu mwingine aliyepata kura chache hata hazijai kiganjani na akapewa nafasi ya kugombea unakuta uchaguzi ukipita na yeye anatokomea na kupotea kabisa jimboni na wala haonekani wala kuwa msaada kwa chochote.na kuja tu wakati wa uchaguzi. Pia inaondoa unyenyekevu maana huyu mtu anakuwa anajuwa hamkumpitisha ndani ya chama na wala mlikuwa hamumtaki bali jina lake limerudishwa na wakubwa ,kwa hiyo utii na unyenyekevu wake unakuwa kwa watu anaaojuwa walimshika mkono na kumpa nafasi hiyo.hao ndio atakuwa nao karibu na hali hii itapunguza uwajibikaji kwa wapiga kura pamoja na kupigania maslahi ya jimbo .
 
Hoja yako iko sahihi,tuendelee kuwadhiboti nyumbu mtandaoni.
naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.

mathalani,
kwenye nafasi ya mgombea wa ccm, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya ccm, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na bayana kabisa, hapatakua na uzito wala tashwishwi yoyote dhidi yake. Tuwe wangwana, tuwe wakweli tu, mwenyekiti wa chama hicho kwa sasa, ana nafasi kubwa zaidi ya mtu mwingine yeyote ndani ya chama hicho, kupererusha bendera ya ccm ktk nafasi ya urais. Ana sifa zote stahiki na tukuka, ana uzoefu wa kutosha kuongoza nchi, ni mzalendo asie na shaka, muadilifu na makini sana. kwakweli anakidhi vigezo vyote na masharti yote muhimu kulingana na katiba ya ccm.

hali hiyo ya ushindi ndani ya ccm,
itadhihirika na kutokea pia kwenye uchaguzi mkuu, kutokana na hali unyonge sana kutoka kwa washindani wake dahifu sana na waliokata tamaa mapema sana. Na hiyo haitakua excuse ya ushindi wa kishindo, kwa mgombea wa CCM.

kimbembe, songombingo za kabokamchizi, sarakasi na vitimbi vitakua kwenye nafasi za ubunge na udiwani.

macho na maskio ya waTanzania yataelekezwa huko, ili kujua mbivu na mbichi miongoni mwa wabobezi, wasomi, wanamageuzi na manguli mahiri ya siasa za ccm na Tanzania kwa ujumla, wakichuana na kutunishiana misuli, kwa kushindanisha sera zao, mipango yao na mikakati yao katika kuchochea maendeleo ya wanainchi, na mbinu watakazotumia kudeal na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazowakabili wanainchi wa maeneo mahalia.

uchaguzi huu muhimu sana wa nchujo au kura za maoni utakapokamilika, basi ccm na nchi kwa ujumla, kwa asilimia fulani itakua inapumua vizuri na imeshajua uelekeo wake kwa siku za usoni kuelekea uchaguzi wa kukamilisha ratiba...

watakao fanikiwa kuchaguliwa na kuteuliwa kwenye kura za maoni, kupeperusha bebdera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu, kwa nafasi za udiwani na ubunge, wataungana na mgombea uraisi madubuti na makini sana wa ccm katika kukamilisha ratiba ya uchaguzi mkuu kwa mujibu wa kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi; kwa kupambana na washindani waliopo ambao ni wanyonge sana, na wengi wao pia wanalenga tu kutimiza haki yao ya msingi ya kuomba kuchaguliwa na ndoto zao za muda mrefu, za walau hata kugombea tu uongozi katika uchaguzi mkuu, regardless ya kushindwa vibaya, na kukamilisha ratiba ya uchaguzi kikatiba.

katika chaguzi za mchujo zilizopita, ndani ya ccm hali hii hujitokeza, lakini mwaka ujao wa uchaguzi ndani ya ccm, hali itakua ni moto sana na kwakweli patakua hapatoshi, itakua ni patashika nguo kuchanika :BASED:
hakuna lelemama hata kidogo ndani ya ccm imara, JIPANGE.

No Retreat No Surrender​

Ila naomba tu kuwa kura za wajumbe zizingatiwe na kuangaliwa vizuri.maana ile ya kumchukua mtu amepata kura 6 na kushika sijuwi nafasi ya ngapi huko .na kumuacha aliyepata kura karibu mia 3 inakuwa haipendezi na inawakatisha tamaa wengi na kuonyesha kuwadharau wajumbe ambao ndio wanawafahamu vyema wagombea na kujuwa ni nani atakuwa msaada kwa wananchi na nani anakubarika kwa jamii .na ambaye anazijua vyema shida za watu na rekodi nzuri na atakuwa nao karibu wakati wote.

Sasa huyu mwingine aliyepata kura chache hata hazijai kiganjani na akapewa nafasi ya kugombea unakuta uchaguzi ukipita na yeye anatokomea na kupotea kabisa jimboni na wala haonekani wala kuwa msaada kwa chochote.na kuja tu wakati wa uchaguzi. Pia inaondoa unyenyekevu maana huyu mtu anakuwa anajuwa hamkumpitisha ndani ya chama na wala mlikuwa hamumtaki bali jina lake limerudishwa na wakubwa ,kwa hiyo utii na unyenyekevu wake unakuwa kwa watu anaaojuwa walimshika mkono na kumpa nafasi hiyo.hao ndio atakuwa nao karibu na hali hii itapunguza uwajibikaji kwa wapiga kura pamoja na kupigania maslahi ya jimbo .
sina shaka yoyote na sekritarieti madhubuti ya ccm iliyopo, ati kuzima sauti za wana ccm kwa kuwakata majina viongozi walio wachagua ktk kura za maoni licha ya kwamba walipata kura nyingi zaid ya wengine, na ambao ndio wanao pendwa na kukubalika zaid na wana ccm wengi, lakin pia na nje ya ccm....
naamini mwenye kura nyingi atapewa fursa ya kupeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu kwa haki na uwazi kabisa .....

hii itaongeza hamasa na imani zaidi kwa wana ccm kuona kwamba sauti na maoni yao kupitia kura zinasikilizwa na zinaheshimiwa....

ni vizuri kujiandaa kikamilifu kwa hali na mali, kwa kura za maoni zitakazo husisha wanachama wote wa ccm wa matawi yote, katika kila kata, na kila jimbo la uchaguzi. Hii inalenga kusaidia kudhibiti rushwa kuongeza hamasa na idadi ya wapiga kura wa ccm uchaguzi mkuu :whatBlink:
 
Ukipanda mahindi utegemee kuvuna mahindi.
Hivyo hivyo CCM itavuna kile ilichopanda hasa ngazi za chini.
Mwaka 2019 chaguzi kwenye serikali za mitaa ulikuwa wa aina yake.Na pale ndipo matatizo yalipoanzia.Sidhani wale waliopata nafasi hizo kinyume na kanuni za nchi hawajajifunza kitu maana ya chaguzi huru ni nini.
 
yaliyopita sio ndwele tugange yasasa na yajayo kwa amani....

uelekeo wa ccm, matarajio, matumaini na matamanio ya wana ccm na waTanzania kwa ujumla ni ya kipekee sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Uhakika wa uhalali wa viongozi watakaoteuliwa na ccm, kupeperusha bendera ya ccm katika uchaguzi mkuu watapatikana kwa haki, uhuru na uwazi kulingana na sifa zao, uwezo, vigezo na masharti ya kanuni na taratibu za chama :BASED:

matumaini ya uhakika ya kwamba uchaguzi mkuu ujao utakua huru, wa haki na wa wazi, si tu kwa wana ccm, bali pia hata wasiokua wana ccm wana matumaini hayo makubwa sana, kulingana na uongozi uliopo madarakani kuonyesha nia na dhamira ya dhati kweye hilo na kuaminika kitaifa na kimataifa:whatBlink:
 
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.

Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na bayana kabisa, hapatakua na uzito wala tashwishwi yoyote dhidi yake. Tuwe wangwana, tuwe wakweli tu, mwenyekiti wa chama hicho kwa sasa, ana nafasi kubwa zaidi ya mtu mwingine yeyote ndani ya chama hicho, kupererusha bendera ya ccm katika nafasi ya urais.

Ana sifa zote stahiki na tukuka, ana uzoefu wa kutosha kuongoza nchi, ni mzalendo asie na shaka, muadilifu na makini sana. Kwakweli anakidhi vigezo vyote na masharti yote muhimu kulingana na katiba ya CCM.

Hali hiyo ya ushindi ndani ya CCM itadhihirika na kutokea pia kwenye uchaguzi mkuu, kutokana na hali unyonge sana kutoka kwa washindani wake dahifu sana na waliokata tamaa mapema sana. Na hiyo haitakua excuse ya ushindi wa kishindo, kwa mgombea wa CCM.

Kimbembe, songombingo za kabokamchizi, sarakasi na vitimbi vitakua kwenye nafasi za ubunge na udiwani.

Macho na maskio ya watanzania yataelekezwa huko, ili kujua mbivu na mbichi miongoni mwa wabobezi, wasomi, wanamageuzi na manguli mahiri ya siasa za ccm na tanzania kwa ujumla, wakichuana na kutunishiana misuli, kwa kushindanisha sera zao, mipango yao na mikakati yao katika kuchochea maendeleo ya wanainchi, na mbinu watakazotumia kudeal na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zinazowakabili wanainchi wa maeneo mahalia.

Uchaguzi huu muhimu sana wa nchujo au kura za maoni utakapokamilika, basi ccm na nchi kwa ujumla, kwa asilimia fulani itakua inapumua vizuri na imeshajua uelekeo wake kwa siku za usoni kuelekea uchaguzi wa kukamilisha ratiba.

Watakao fanikiwa kuchaguliwa na kuteuliwa kwenye kura za maoni, kupeperusha bebdera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu, kwa nafasi za udiwani na ubunge, wataungana na mgombea uraisi madubuti na makini sana wa CCM katika kukamilisha ratiba ya uchaguzi mkuu kwa mujibu wa kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi; kwa kupambana na washindani waliopo ambao ni wanyonge sana, na wengi wao pia wanalenga tu kutimiza haki yao ya msingi ya kuomba kuchaguliwa na ndoto zao za muda mrefu, za walau hata kugombea tu uongozi katika uchaguzi mkuu, regardless ya kushindwa vibaya, na kukamilisha ratiba ya uchaguzi kikatiba.

Katika chaguzi za mchujo zilizopita, ndani ya ccm hali hii hujitokeza, lakini mwaka ujao wa uchaguzi ndani ya CCM, hali itakua ni moto sana na kwakweli patakua hapatoshi, itakua ni patashika nguo kuchanika.

Hakuna lelemama hata kidogo ndani ya ccm imara, jipange.

No retreat no surrender
Mtashinda Kwa kishindo doda na kizimkazi kwine kote sahau dada mpaka Sasa mpo peke yenu hakuna mtakacho ongopa Kwa WATAANZA
 
Mtashinda Kwa kishindo doda na kizimkazi kwine kote sahau dada mpaka Sasa mpo peke yenu hakuna mtakacho ongopa Kwa WATAANZA
kupitia CCM imara,
waTanzania kwa mamilioni yao, watazishinda kwa kishindo hila, mipango na njama za vibaraka wa mabwenyenye kwenye sanduku la kura mchana kweupe :BASED:
 
kupitia CCM imara,
waTanzania kwa mamilioni yao, watazishinda kwa kishindo hila, mipango na njama za vibaraka wa mabwenyenye kwenye sanduku la kura mchana kweupe :BASED:
Upo nyuma ya wakati dada miaka MITANO haijatosha kuwepo peke yenu bungeni ? Tuonyesheni kwanza Cha maana au ndio madudu ya CAG KWENU ni mafanikio? Kanye ulale bwwge wewe
 
Upo nyuma ya wakati dada miaka MITANO haijatosha kuwepo peke yenu bungeni ? Tuonyesheni kwanza Cha maana au ndio madudu ya CAG KWENU ni mafanikio? Kanye ulale bwwge wewe
kama chama, lakini pia kama nchi, chini ya kiongozi madhubuti sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan,
tumepitia changamoto mbalimbali ngumu na nyepesi, mathalani uviko19, kuondokewa na mkuu wa nchi kipenzi cha waTanzania hayati comrade J.P.Magufuli, R.I.P mkuu, tumepitia pia changamoto ya athari za covid19 na athari za vita vya russia vs ukraine, vilivyo kuzoretesha chumi za nchi mbalimbali duniani, ikiwemo Tz na kusababisha mfumuko wa bei wa kitofauti sana kwenye chakula, mbolea, mafuta, gas n.k. Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi amabyo imesababisha joto kupita kiasi, ukame, vimbunga, maporomoko mafuriko n.k

pamoja na changamoto hizo, na nyingine nyingi sana,
lakini bado kwa neema na baraka za Mungu, kama cha na serikali tumefanikiwa mambo mengi sana; mathalani Amani, utulivu na usalama wa waTanzania na mali zao, ni imara na wa uhakika mno, ukilinganisha na tulipotoka huko nyuma. kukamilika kwa miradi ya kimkakati ya Bwawa la mwl. Nyerere na reli ya SGR, kuimarika kwa sekta ya usafiri wa anga kwa kununua ndege za kutosha kwa fedha za ndani, Kuimarika kwa upatikanaji wa uhakika wa huduma za kijamii kama vile maji, elimu na afya katika kila kata, kuimarika na kustawi kwa demokrasia ya vyama vingi nchini, uhuru na haki ya kujieleza na kutoa maoni, kuimarika kwa kasi kwa uchumi wa nchi, kunakochochewa na kuongezeka kwa mauzo ya nje, utalii, uwekezaji, maendeleo ya kilimo, ufugaji, uvuvi n.k mambo ni mengi sana aise kwa kweli. :pedroP:

nadhani baada ya uchaguzi mkuu ujao, ilani imelekeza na imejaa vipaimbela mwanana sana kwa maendeleo ya mwananchi wa Tanzania...
 
Back
Top Bottom