Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,637
52,453
Kwema Wakuu!

Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya.

Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu, mdomo na roho mbaya.

Kuna uhusiano gani?
Zingatia, sio wanawake wote wembamba wana gubu, mdomo na roho mbaya ila wengi wao wapo hivyo.
Alafu ukute mwembamba asiye na gubu, mdomo na roho mbaya lazima awe smart kuanzia akili za shuleni na akili za maisha.

Karibuni kwa mjadala
 
Ni hatare kweli wanawake we mbamba ni noma sana uhusiano huenda wana fidia kutokua na mwili na maneno mengi, wengine wanadhani wanaonewa kwasbb ni wembamba, naona ni shida ya kisaikolojia.
 
Wanajiona wazuri wanastahili kupendeza wakivaa kama walivyo wasanii, mainfluence, ma model so wanajiskia fulani so uki watreat kdg tofaut na wanavyotaka wanajikuta Wana hasira wanaongoza Kwa hate Kiukweli.. Nawashauri waache kujibana kwenye kula wasifanye diet
 
Kwema Wakuu!

Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya.

Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu, mdomo na roho mbaya.

Kuna uhusiano gani?
Zingatia, sio wanawake wote wembamba wana gubu, mdomo na roho mbaya ila wengi wao wapo hivyo.
Alafu ukute mwembamba asiye na gubu, mdomo na roho mbaya lazima awe smart kuanzia akili za shuleni na akili za maisha.

Karibuni kwa mjadala
Mwanamke yoyote usimtegemee wala kumwomba chochote mpaka akupe yeye labda mama yako mzazi anaweza kukuhurumia.

Mimi kuna wanawake ndugu WA damu wao ukiwaomba msaada wanasema hawa na pesa hatakama unapitia changamoto ya kiafya na hauna kitu. Lakini unaona status Yuko na marafiki zake wanaumega mkate na Divai Huku kiongozi ni yeye kwenye magari kupanda la mwanamke mpaka akuambie lasivyo tembea kwa miguu lazima akuambie utoe hela ya mafuta, unajiuliza yaani siku zote analitumia nawekaje mafuta Mimi kupanda mwendo WA km1 nitoe ten ya mafuta?

Ila wanaume tumekuwa Teso Teso unaweza panda la mwanaume mwenzio bila hata buguza.

Mwanamke hata akiwa kondani Bora WA kiume anaweza kukuhurumia mi nakuuliza eti mwanamke anatafuta pesa za kazi gani hasidii ndugu na jamaa eti ana familia?!, mbona mwanaume anaweza kufanya yote.

NB kila MTU atafute pesa atumie anavyopenda ila wanawake mpunguze gubu.

Eti mwanamke ananivimbia alafu jtatu nampa nauli Anaenda job cha ajabu sioni hata mshahara wake sasa kazi ya kazi gani kwa mwanamke.

Wanawake wameumbwa maskini toka kuzaliwa kama unabisha nambie bible unasemaje kuhusu kuumbwa mwanamke!
 
hapo ni mwanzo sijui comment zinazofuata zitakuaje,, tumewakosea nini
 
Back
Top Bottom