Weka nyama utujize na sisi wa huku Mbwinde. Usiandike kana kwamba wote tuko Dar jirani na waliotekwa.Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
subiri kuna mambo ya kishenzi yanaendelea tz kuna kitu kinafanyika watu wa ndani wanatumika na $$%Weka nyama utujize na sisi wa huku Mbwinde. Usiandike kana kwamba wote tuko Dar jirani na waliotekwa.
Mkuu una hofu ya kutekwa?Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
Kama aliyekuwa mkuu wa genge la utekaji lililoasisiwa na yule mwovu amerudi kwenye mfumo unategemea nini? Bashite atamaliza watu kama alivyofanya awamu ya mwendazakeKila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
ICC wanataka ushahidi, unao? Labda upeleke malalamiko Ubalozi wa Marekani, wao wana watu wao nchini wa kuwapa ushahidi. Ushahidi wa Makonda wa kuwanyima watu haki ya kuishi wote wanao.Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
Hayo yameanza tena? Kuweni makini mkuu wa watekaji kesharejea ndani ya nyumba.Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
Toa ushahidi mkuu na upeleke mahakamani, la huna, kaa kimyaKama aliyekuwa mkuu wa genge la utekaji lililoasisiwa na yule mwovu amerudi kwenye mfumo unategemea nini? Bashite atamaliza watu kama alivyofanya awamu ya mwendazake
Hatari sana
Wewe ndiye ukae kimya pimbi wa kihutu weweToa ushahidi mkuu na upeleke mahakamani, la huna, kaa kimya
Dah...Weka nyama utujize na sisi wa huku Mbwinde. Usiandike kana kwamba wote tuko Dar jirani na waliotekwa.