Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 218
- 595
WANAUME
•Wanaume hujisikia salama
•Husaidia kushuka chini wakiwa na hasira
•Hujisikia ana rafiki wa kweli
•Hujisikia kupendwa
•Hujisikia ni mali yake
•Ni nafasi na kutoa na kupokea upendo
•Kusikia joto la upendo
SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WAWE WANAPENDA KUKUMBATIWA NA WENZA WAO
•Inawafanya kujisikia kupendwa
•Hujisikia wameunganishwa na kuwa karibu zaidi
•Hujisikia salama
•Ni dawa kisaikolojia
•Hujisikia joto la upendo
•Hujisikia kulindwa
•Hufarijika na kujiona mwanaume anamjali
•Hujisikia vizuri miili kugusana na kujisia mtu muhimu.
Pia Mwanamke anapokumbatiwa anapokua Ana hofu au kakasirika hujikuta anarejea kua sawa kutokana na kujiona kuwa yupo sehem salama , mapigo ya moyo hushuka na presha kutulia.
Usiache kumkumbatia mwenza wako anapokua katika NYAKATI za hofu na mashaka.
Usiku pia niwakati mzuri wakukumbatiana.