KERO Kukatika kwa mawasiliano maeneo ya Goba Kulangwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

MwakiIV

Member
Aug 31, 2018
79
137
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam.

Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza.

Tafadhali wahusika washughulikie na hii kero kwani wananchi waeneo hilo wamejaribu kujenga mitaro kwa pesa za kuchangishana lakini wamekwamia hapo ambapo uharibifu uliofanyika ni mkubwa zaidi.

35db605e-9217-405c-aa78-6f4c3ff2fd8e.jpeg
 
Itakuwa Mwenyekiti wa mtaa anasubiri iwe ajenda kuelekea uchaguzi wa mtaa, ama hatarajii kugombea tena.
 
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam.

Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa ilhali mvua zingine tena zimeanza.

Tafadhali wahusika washughulikie na hii kero kwani wananchi waeneo hilo wamejaribu kujenga mitaro kwa pesa za kuchangishana lakini wamekwamia hapo ambapo uharibifu uliofanyika ni mkubwa zaidi.

Huko Goba naweza kupata kiwanja kikubwa kama nusu ekari? Na vinauzwaje? Hongera sana wana Goba kwa kuchangishana! Inaonesha mna uzalendo fulani!
 
Back
Top Bottom