Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado miezi minne tu kufanyike uchaguzi.
(3) Vyama vya siasa havijashirikishwa kwenye taratibuzote za uchaguzi huu.
(4) Kwenye Katiba inasema KUTAKUWA NA TUME YA UCHAGUZI na kwenye mabadiliko ya sheria inasema KUTAKUWA NA TUME HURU YA UCHAGUZI sasa kipi kichukuliwe kuwa ni sahihi.
Je, ni Katiba au sheria? Washiriki walishauri kuwa mabadiliko ya katiba yangefanyika kwanza ndo sheria itungwe. Walisisitiza kuwa kuna kosa. Pamoja na majadiliano ya jana basi ni vema kanuni inayoongoza uchaguzi tayari ingekwisha toka na kusambazwa kwa wananchi.