The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,584
- 7,015
Inakuwaje Wanajamvi!
Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha mwanadada mrembo na mjasiriamali alipokuwa akimtangazia biashara yake ya nguo na viatu na kuweka video kwenye ukurasa wake wa Facebook. Ikumbukwe huyo mrembo ni mke wa mtu. Wadau tumesikitika na kuumia sana wengine tukimuonea wivu na husda Mwijaku.

Asante @hafsa_wearcollection kwa bidhaa bora na za kisasa . Nawakumbusha hapa ni nguo OG @hafsa_wearcollection . Nipigie 0747370616 | Burton Mwemba | Burton Mwemba · Original-Audio
Asante @hafsa_wearcollection kwa bidhaa bora na za kisasa . Nawakumbusha hapa ni nguo OG @hafsa_wearcollection . Nipigie 0747370616. Burton Mwemba · Original-Audio
www.facebook.com