Mbona mpaka miaka ya 80/90, huku kwetu zilikuwa zinatumika, nakumbuka masecretary wakiwa na hizo stencil na wanapaka wino na wanatumia zile drums, then inazungushwa kwa mkono si umeme na inatoa kopi vizuri kabisa.... mwandishi kaaandika, and I quote, "kutoa copi ile barua ya Kikwete" haimaanishi photocopy. Siku zile palikuwa na STENCIL copying method. (Almost kama Riso copiers zinavyofanya. Tofauti ni kuwa RISO ina-scan)...SO IT WAS POSSIBLE