Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote

Mpira wa miguu ni mchezo wa muda mfupi sana Kibu Denga yuko sahihi mno kwasasa afuate maslahi yalipo asiangalie sura, muda wake ni huu yuko on fire, iwapo atakuja kwetu uto utakuwa uamuzi sahihi maana ata shine sana. Angalia Mudathir wa Azam na Mudathir wa Yanga.

Simshauri kwenda Azam, huko ataenda akitokea Yanga kwa dau kubwa. Kiukweli uto atafit sana na kiwango chake kitakua kikubwa, sisi uto hatuhitaji afunge tunachotaka akasaidiane na wenzake kutia kashkash lango la wapinzani mpaka Real Madrid waombe game nasisi ya kirafiki.

Watu wa bugoi hawajawahi kuwa wajinga chukua hela Kibu mpira ni ajira yako, njoo Yanga ubebe makombe kama Mkude, hao hao makolo wanaokubembeleza leo mpira ukiisha ghafla watakutupa bila kukuangalia usoni.
 
Umenena mtaalam! Mchezo kutumia nguvu na akili kama kweli amepata sehemu inamlipa aende, maisha yake yanapita ila Simba ipo tuu! Akapige pesa atengeneze maisha huu ndio wakati wake!
 
Juzi katoka Boko halafu kajifanya anatumia.
Simba yote imeoza na kuporomoka,huo ndio ukweli mchungu, hakuna mchezaji mwenye afadhali, mi siamini katika kumshambulia Tshabalala kama vile anacheza peke yake uwanjani.

Simba ilipofikia kama paka, sasa ifumuliwe yote kuanzia viongozi waondoke, wachezaji waondoke na pia mashabiki waje wengine, hawa ambao wameisusa timu wakati huu inapitia wakati mgumu hawafai!!

Kwasasa Simba iazime mashabiki wa Yanga wanaopiga kelele timu ifunge au ifungwe kama monkeys na wasichokijua simba hizo kelele wanazozidhihaki ndio siri ya ushindi Yanga maana huwapa mzuka wachezaji wakajituma na kushinda kila mechi
 
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa viongozi wa Simba.

Na inavyoonesha Kibu aonekana ana ofa kubwa zaidi nje ya mipaka ya Tanzania kwahiyo ameanza kushinikizwa na wanao msimamia na yeye mwenyewe ameonyesha nia ya kutoendelea kucheza Simba.

Sasa ukilitazama hili suala binafsi bado naona kuna sanaa inayoendelea kwa wachezaji wengi baada ya kupata jina kubwa na kuibwa ndani ya klabu yake yaani kuonesha kuwa ni muhimu kwahiyo inapelekea kutumia fursa ya kupiga hela ndefu.

Lakini kwa ushauri wangu tu hizi sanaa ni mbaya kama mchezaji aliyekuwa kama anahisi anahitaji kwenda kucheza mpira sehemu nyingi aende kwa mazungumzo mazuri na viongozi kuliko kufanya vituko kama anavyovifanya Kibu au Feisal na Dube.
ndio hivyo sasa,simba waachane nae
 
Mtani wangu unatakiwa utambue kuwa mpira wa sasa ni uwekezaji! Na ninaposema hivyo, namaanisha pesa! Siku hizi hakuna tena mambo ya kufia timu.

Wekeni mzigo wa kutosha mezani, ili kijana asaini mkataba mpya. Kinyume na hapo, mhesabie maumivu.
Maumivu kuondoka kwa Kibu? Mm kwa sasa kiukweli hata akiondoka nani sitaumia moyo...
 
Overrated.Timua hilo li Mr; Kazibure liende linapopataka.
 
Fei alianza mkashabikia weeeee ! MKAMCHANGIA MPAKA PESA YA KESI ! Akaja Dube na sasa Kibu ndo mjue karma is a bitch ! Shenz taip
 
Back
Top Bottom