Kauli ya UVCCM Bukoba ya Hawa Tukiwapoteza Msiwatafute yamuibua Shehe Ponda, adai 2023 - 2024 Watu 236 Wametekwa na Kupotezwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,048
142,160
Shehe Ponda ameitaka Dola kuchukua hatua kufuatia kauli ya UVCCM kwamba " Hawa Tukiwapoteza Msiwatafute"

Ponda amesema Katika Utafiti uliofanywa na Shura ya Maimamu wamebaini Kuwa Watu 236 walitekwa na kupotezewa Kati ya mwaka 2023 na 2024 na ameonya wananchi wataweza kuituhumu CCM kwa upotevu huo

Shehe Ponda ameongea Ukurasani X
 
Nadhani sasa hivi tukisikia mtu ametekwa,huyu Mwenyekiti wa UVCCM (Mjinga-by Katibu Mkuu) awe wa kwanza kuisaidia polisi kutoa maelezo!
 
Back
Top Bottom