Kama unahisi Mchumba wako (Demu) anataka kukuomba hela na wewe huna, tengeneza ugomvi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
794
1,948
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
 
IMG-20240406-WA0883.jpg
 
Umesharudi tuisheni ya shule? Mwalimu wako wa darasa shule ya msingi ananiambia hajakuona tuisheni leo
 
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
Kwa upande wangu hiyo trick lazima nifeli. Maana kuna mambo tumeshakubaliana no matter what lazima yatekelezwe:

1. Hata kama kuna ugomvi mkubwa kiasi gani, mmoja alisema ana nyege, mwingine lazima a comply then show inachezwa.

2. Haijalishi sababu ya ugomvi, care n support lazima iwepo. Hata kama mtu atatekeleza majukumu yake huku kanuna, it's okay as long as ametekeleza.
 
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
Ila hiyo mbinu ya kizamani,kwanini usimtoe out,hata kisiwa ambacho hata pipi hapati,hata kama hela anayo🤣
 
Back
Top Bottom