Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,487
- 2,344
Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa.
Lakini jana Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali umechezwa kati ya Mamelodi vs Esperance.
Je kwa Mchezo huo kuchezwa nini hatma ya rufaa ya Yanga? Au Yanga watakata tena rufaa FIFA?
Binafsi nawashauri Yanga wakate rufaa FIFA.