Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Hahahahahaha inaitwa supu ya magozi gozi, utotoni enzi hizoo Temeke sokoni kulee, tumekula saaana
Kipande ilikua shilingi 20
Ikifika jioni tuu, tunakusanyana watoto wa mtaani hapo Ruvuma, mkamba, Madenge tunaanza safari
Ruvuma?
 
Hahahahahaha upo hapo CCM kata 14, tena Ilala ndo mitaa yenye majina ya mikoa imejazana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom