Je, kwa mfano kesho Simba mtafungwa 5 na Yanga mtafanyaje?

Screenshot_20240418-203903_Instagram.jpg
hakuna jipya ...
Acha mada za kijinga na kilimbukeni...hivi huchoki?
 
Wanatoa tenda za matangazo ya mabango kutangaza ushindi dhidi ya Simba wakishinda. Hawajakuambia na upo nao kila siku dimbwini?
Kwamba huamini kama Simba itashinda??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom