Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 17,551
- 26,850
Kuna mambo mengi Makolo yaliya buni badala ya kusajili quality players wenyewe walitaka ku master mambo ya nje ya uwanja ...
Mfano suala la kibegi Cha Simba walikipandisha Hadi mount Kilimanjaro na mbwembwe nyingi sana .....Je mafanikio yake ni yapi
Kwa Yanga walileta suala la soup day ambapo hii ilisaidia kuleta muunganiko Kwa wachezaji na mashabiki.... compact ambayo tunaiona Yanga ya saizi inawasha moto
Nb: Je, kibegi Cha Simba kimeleta mafanikio yapi?