Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,060
- 13,877
Mwanasoka wa italia amefungwa jela kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumuua aliyewahi kuwa moenzi wake Alessandra Mateuzzi mwenye miaka 56.
Giovani Podovani 28 ambaye alikuwa beki wa kati wa club ya ni Sancataldese alimuua mpenzi wake huyo wa zamani kwa kumpiga na kumsababishia majeraha. Alipatiwa matibabu la lakini alifariki baadaye.