Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,042
- 16,924
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita.
Iran katuacha vinywa wazi jumamosi iliyopita baada ya kupitisha Ballistic missiles juu ya Bunge la Israeli siyo kitu cha kawaida.
Ushauri wangu hii ni dharau kubwa sana kwa taifa kama la israeli hatua za haraka sana tena za nguvu zitumike kuijibu Iran kwa kitendo hiki ambacho hatujaona kikitokea katika nchi zingine mashuhuru hapa ulimwenguni (japo Israel ni nchi ya mchongo).