Khaaaa!Mme wa mtu mwenyewe sumu
Kwahiyo vikikutana vinatulizana
Kama siyo akili ya kitoto basi ni bangi. Anyway tembea na wake za watu utaiona sumu ilipo.Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu.
Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?