Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,828
4,553
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.

Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .

Screenshot_20240519-114213.png
 
Just thinking out loud, wouldnt it be fair kama pia watotot wa kiume wangekua celibate pia kwenye hizo tuzo?
Because, kama wewe n mzazi una mtoto wako wa kike, its a great honor kuona binti yako anajitunza, but je itakua furaha kwako pia ukiona after kujitunza koote anaenda kuolewa na kamsela kamalaya?
 
Kuwa bikra sio kigezo Cha uke wema na maadili.
Kujitambua ndio kunasaidia.
Unaweza ukaoa bikra lakini baba mwenye nyumba akammendea na kunitambulisha kwenye ulimwengu tofauti akanogewa akaanza kulalwa hovyo na kukuletea watoto sio wako.
Unampa soda ya fanta wenzio wanamuonjesha mirinda nyeusi😊 ananogewa anataka kote.
Kikubwa ni kujitambua mtu binafsi ajue yeye ni nani nayuko kwenye nafasi gani.aheshimu viapo vyake na mahusiano yake basi.kuoa bkra haimaanishi hatokitana na vishawishi,na kujitambua ndio kitasaidia kuvivuka na kubaki loyal.
 
Well said, ungekuwa karibu hakika ningekupa zawadi
 
Na serikali ya Mama Samia itenge Bajeti kwa ajili ya hili sawa na Bajeti inayotengwa kwenye Wizara ya Elimu na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Hakika Mama anaupiga mwingi, vijana wake wanawaza mambo mazuri sana 🤣

Mama Samia Hoyeeee
 
Kuwa bikra sio kigezo Cha uke wema na maadili.
Kujitambua ndio kunasaidia.
Unaweza ukaoa bikra lakini baba mwenye nyumba akammendea na kunitambulisha kwenye ulimwengu tofauti akanogewa akaanza kulalwa hovyo na kukuletea watoto sio wako.
Unampa soda ya fanta wenzio wanamuonjesha mirinda nyeusi😊 ananogewa anataka kote.
Kikubwa ni kujitambua mtu binafsi ajue yeye ni nani nayuko kwenye nafasi gani.aheshimu viapo vyake na mahusiano yake basi.kuoa bkra haimaanishi hatokitana na vishawishi,na kujitambua ndio kitasaidia kuvivuka na kubaki loyal.
Bikira ni muhimu na heshima kubwa sana kwa mwanamke. Nitoe mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta binti ashatumika? Kama haujaolewa na aliekutoa bikira usitafute justification ya kuahalalisha ukicheche wako. Suala la kujitambua hata mwenye bikira anaweza kuwa anajitambua tena uyo ndio mfano mzuri maana kaonesha mfano kwamba mwili wake sio wa kuchezewa ovyo na wanaume, suala la kutoa kote hata asiekua na bikira anaweza kutoa pia.
 
Kuwa bikra sio kigezo Cha uke wema na maadili.
Kujitambua ndio kunasaidia.
Unaweza ukaoa bikra lakini baba mwenye nyumba akammendea na kunitambulisha kwenye ulimwengu tofauti akanogewa akaanza kulalwa hovyo na kukuletea watoto sio wako.
Unampa soda ya fanta wenzio wanamuonjesha mirinda nyeusi😊 ananogewa anataka kote.
Kikubwa ni kujitambua mtu binafsi ajue yeye ni nani nayuko kwenye nafasi gani.aheshimu viapo vyake na mahusiano yake basi.kuoa bkra haimaanishi hatokitana na vishawishi,na kujitambua ndio kitasaidia kuvivuka na kubaki loyal.
Ni sawa lakini kujitunza kwa kutunza usichana kuna thamani zaidi
 
aah watuache sie,,uroda wetu wanataka na sild wanaitaka😫
Hawaeleweki wanataka Nini,😆😆Kama tabia huanzia utotoni tuwafunze watoto wa kiume pia kutochovya buyu la asali wakiwa wadogo,,,😆😆😆 mtoto wa kiume sikuhizi unakuta Yuko bize kutoa bikra za mabinti alafu baadae akija kuoa anataka aoe bikra😆 bikra which?
 
Sijapinga Wala kukataa..lakini nimesema kumkuta bikra hakuhusiani na uaminifu.
Maana wengi hudhani ukimkuta bikra basi atakuwa wako peke yako.hiyo haiko guaranteed ikiwa hatakuwa akijitambua.

Back
Top Bottom