Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,773
- 5,638
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
Una cheti chake cha kuzaliwa?Watu tunatofautiana.huyo ni bibi kabisa kajichokea wewe unasema ni mrembo?duh!
Bila shaka una miaka 11, kwenu wabibi ndio wanafanana na huyo kwa picha?Watu tunatofautiana.huyo ni bibi kabisa kajichokea wewe unasema ni mrembo?duh!
Hawezi fikika hiki chuma hapa ๐Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
View attachment 2982613
Cheki lips hizo shingo hiyo anazeeka na utamu wakeUtamu WA macho
Keshazeeka hamna kitu hapoStar wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
View attachment 2982613
""How come this FAT PIG is considered sexy and beautiful?""Ama kweli uzuri upo machoni mwa atazamaye!
Hapo mie nikiangalia naliona jimama lenye mashavu makubwa na kishundu mbinuko.
Kwanzia leo mimi sio shangazi, natangaza rasmi kujiuzulu.
How come this FAT PIG is considered sexy and beautiful?
Cc Lamomy Poor Brain cocastic
Kwahiyo unaona mie sikutoshelezi? ๐Yaaani mi nikipata mshangazi kama huu wallah naahama huku dodoma mchana kweupe
Hapana sijamaanisha hivo ant angu....Kwahiyo unaona mie sikutoshelezi? ๐
Arobaini au sitini na ngapi huko?Ana arobaini na ngapi