Ijue nguvu ya kuongea na Nafsi yako

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,894
7,427
Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa.

Nina habari nzuri kwako hicho sio kilema kwamba kitabakia hivyo siku zote au ni ugonjwa ambao utakuganda siku zote,,,jambo zuri ni kwamba tiba unayo wewe mwenyewe ni swala la kuamua kuanza matibabu tu basi.

Kuna jambo moja ambalo huenda wengi wetu hatulifahamu au hatutajua ndilo ima lituinue au litushushe na kujiona kuwa hatuna thamani au litukatishe tamaa au litufanye tusijiamini tena

Ni sauti yako ya ndani,hii ni sauti ndogo sana lakini ina nguvu sana kuliko honi ya meli au sauti ya simba au makelele mengine yoyote yale unayoyajua wewe,,inaongea kwa upole lakini ushawishi wake ni mkubwa mno katika maisha yetu

Na wakati mwingine huenda hata usiitambue kama unayo au inakuathiri kwa namna moja au nyingine kwasababu tunayo siku zote na katika maisha yetu yote

Ukiwa makini sana utaisikia ikisema ndani ya nafsi yako kuwa "mimi sina uwezo wa kufanya jambo fulani,mimi sina mvuto kama wengine,mimi siwezi kuongea mbele za watu,mimi huenda maisha yangu yatakuwa haya haya,mimi sio mzuri" na mambo kama hayo.

Hii sauti ndio inayotawala maisha yetu ya kila siku na ndiyo ambayo ima ikuhamasishe kusonga mbele au kurudi nyuma au kubakia hapo hapo ulipo,ima uwe na furaha au huzuni,ima ujiamini au usijiamini.

Je inafanyaje kazi? Sauti hii ndogo jinsi inavyozungumza kila siku basi mwisho wa siku ujumbe wake unaenda katika sehemu ya ndani kabisa ya ubongo inayoitwa subconcous mind,,katika sehemu hii mawazo yetu ndio yanafanyiwa kazi kwa ajili ya utekelezaji,,na mbaya zaidi hii sehemu haijui zuri au baya,kwa maana kilicho rekodiwa ndio kinachofanyiwa kazi.

Ngoja nikupe mfano kidogo,,ukizoea kujiambia wewe hauna thamani katika mawazo yako basi hizo taarifa zinapelekwa kwenye sehemu hiyo ya ubongo na zitafanyiwa kazi katika namna hiyo hiyo na kukuonyesha kuwa huna thamani kweli,na katika jambo utakalo taka kufanya itakukumbusha na kukwambia wewe huna lolote achana na jambo hilo au acha kujisumbua hauna umuhimu wowote

Sasa unachotakiwa kufanya ni kubadilisha hizo taarifa hasi ambazo zipo kwenye ubongo wako na kuweka rekodi mpya au file jipya lenye taarifa nzuri ambazo unazitaka wewe

Na njia moja ya kufanya ni kujiongelesha wewe mwenyewe ima kwa sauti au kwa sauti ndogo ndani ya nafsi yako,,kila siku jiambie maneno mazuri ambayo ambayo unataka wewe ili ubadilishe mtazamo wako

Mfano jiambie "mimi ni mzuri,mimi ni wa thamani,najiamini,naweza kuongea mbele za watu,hakika mimi navutia" na mambo kama hayo trust me baada ya muda fulani hiyo rekodi mpya katika ubongo wako itafuta rekodi ya zamani na kuwa mtu bora zaidi

Na ikikupendekeza jiangalie katika kioo na sema na nafsi yako,mwambie yule unayemuona katika kioo " wewe ni wa thamani,unaweza kuwa chochote kile,una mvuto na ni mrembo,wewe ni handsome" na mambo kama hayo

Baada ya mda fulani kupita au siku kadhaa kupita utaona mabadiliko katika mitazamo yako na mawazo yako,kikubwa jiambia kila siku maneno mazuri na utaona matokeo yake.

Kama vile tunavyoathirika na maneno ya watu wanayotuambia maneno mabaya juu yetu, basi na kinyume chake tunaathirika kwa kujiambia maneno mabaya juu yetu, na ndio kama vile tunavyoathirika tunavyoambiwa maneno mazuri juu yetu na kama tuanvyoathirika tunavyojiambia maneno mazuri juu yetu.

Unaweza kwenda youtube na kusikiliza video za positive talks ambazo zinahamasisha namna ya kuongeza self esteem,self confidence na mambo kama hayo.

Nawapenda sana.

Ni hayo tu!
 
Sawa,,,, ila mm sipend kupendwa😀
 
"Mimi nina tumbo flat"
Nishajiambia, kwahiyo mkuu unanihakikishia siku sio nyingi tumbo langu litaingia ndani?

Kinachokuathiri mumy sio tumbo kuwa flat ni mtazamo wako kuhusu hilo tumbo,,lakini lau ukaliona katika mtazamo wa umbo bora kabisa na kukubali hilo tumbo ambalo umejaaliwa kuwa nalo basi utajisikia amani kuwa nalo
 
Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa.

Nina habari nzuri kwako hicho sio kilema kwamba kitabakia hivyo siku zote au ni ugonjwa ambao utakuganda siku zote,,,jambo zuri ni kwamba tiba unayo wewe mwenyewe ni swala la kuamua kuanza matibabu tu basi.

Kuna jambo moja ambalo huenda wengi wetu hatulifahamu au hatutajua ndilo ima lituinue au litushushe na kujiona kuwa hatuna thamani au litukatishe tamaa au litufanye tusijiamini tena

Ni sauti yako ya ndani,hii ni sauti ndogo sana lakini ina nguvu sana kuliko honi ya meli au sauti ya simba au makelele mengine yoyote yale unayoyajua wewe,,inaongea kwa upole lakini ushawishi wake ni mkubwa mno katika maisha yetu

Na wakati mwingine huenda hata usiitambue kama unayo au inakuathiri kwa namna moja au nyingine kwasababu tunayo siku zote na katika maisha yetu yote

Ukiwa makini sana utaisikia ikisema ndani ya nafsi yako kuwa "mimi sina uwezo wa kufanya jambo fulani,mimi sina mvuto kama wengine,mimi siwezi kuongea mbele za watu,mimi huenda maisha yangu yatakuwa haya haya,mimi sio mzuri" na mambo kama hayo.

Hii sauti ndio inayotawala maisha yetu ya kila siku na ndiyo ambayo ima ikuhamasishe kusonga mbele au kurudi nyuma au kubakia hapo hapo ulipo,ima uwe na furaha au huzuni,ima ujiamini au usijiamini.

Je inafanyaje kazi? Sauti hii ndogo jinsi inavyozungumza kila siku basi mwisho wa siku ujumbe wake unaenda katika sehemu ya ndani kabisa ya ubongo inayoitwa subconcous mind,,katika sehemu hii mawazo yetu ndio yanafanyiwa kazi kwa ajili ya utekelezaji,,na mbaya zaidi hii sehemu haijui zuri au baya,kwa maana kilicho rekodiwa ndio kinachofanyiwa kazi.

Ngoja nikupe mfano kidogo,,ukizoea kujiambia wewe hauna thamani katika mawazo yako basi hizo taarifa zinapelekwa kwenye sehemu hiyo ya ubongo na zitafanyiwa kazi katika namna hiyo hiyo na kukuonyesha kuwa huna thamani kweli,na katika jambo utakalo taka kufanya itakukumbusha na kukwambia wewe huna lolote achana na jambo hilo au acha kujisumbua hauna umuhimu wowote

Sasa unachotakiwa kufanya ni kubadilisha hizo taarifa hasi ambazo zipo kwenye ubongo wako na kuweka rekodi mpya au file jipya lenye taarifa nzuri ambazo unazitaka wewe

Na njia moja ya kufanya ni kujiongelesha wewe mwenyewe ima kwa sauti au kwa sauti ndogo ndani ya nafsi yako,,kila siku jiambie maneno mazuri ambayo ambayo unataka wewe ili ubadilishe mtazamo wako

Mfano jiambie "mimi ni mzuri,mimi ni wa thamani,najiamini,naweza kuongea mbele za watu,hakika mimi navutia" na mambo kama hayo trust me baada ya muda fulani hiyo rekodi mpya katika ubongo wako itafuta rekodi ya zamani na kuwa mtu bora zaidi

Na ikikupendekeza jiangalie katika kioo na sema na nafsi yako,mwambie yule unayemuona katika kioo " wewe ni wa thamani,unaweza kuwa chochote kile,una mvuto na ni mrembo,wewe ni handsome" na mambo kama hayo

Baada ya mda fulani kupita au siku kadhaa kupita utaona mabadiliko katika mitazamo yako na mawazo yako,kikubwa jiambia kila siku maneno mazuri na utaona matokeo yake.

Kama vile tunavyoathirika na maneno ya watu wanayotuambia maneno mabaya juu yetu, basi na kinyume chake tunaathirika kwa kujiambia maneno mabaya juu yetu, na ndio kama vile tunavyoathirika tunavyoambiwa maneno mazuri juu yetu na kama tuanvyoathirika tunavyojiambia maneno mazuri juu yetu.

Unaweza kwenda youtube na kusikiliza video za positive talks ambazo zinahamasisha namna ya kuongeza self esteem,self confidence na mambo kama hayo.

Nawapenda sana.

Ni hayo tu!
Nzuri 😊
 
Mimi ningeshauri kama unataka kufanya jambo fulani, tafuta muongozo/hatua za kufanya hilo jambo.....

Imani/kujisemesha kwenye kioo haisaidii.
 
Kumbe unazungumzia mitazamo ya kujidanganya! Au ile  you have to act rich to be rich
Unajua nini mumy?

Mitazamo ndio kila kitu katika maisha yako,ukiwa na mitazo hasi utavuna matokeo hasi,,uwe makini sana na kile unachojiambia nafsini mwako
 
Maneno bila kazi ni sawa na chai isiyo na sukari. Ni kweli maneno yana impact ila bila kubadilisha lifestyle, yaani kila siku unafanya vitu vilevile, unaonana na watu na marafiki walewale, hakuna kitu kitabadilika. Action is needed too
 
Back
Top Bottom