Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,652
- 13,024
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika?
maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria, nakuta muhusika karembwa mno, lakini pia muonekano wa ombu lake huwa katika umaridadi wa kiwango cha juu sana, ukilinganisha na tunavyokutana nae mtaani....
hamjaona au kukutana na hiyo ndrugo zango...