Hivi Hakuna Mpinzani aliyetunukiwa hata Nishani Moja la daraja la nne mbona watu wote waliotunukiwa Ni wa wanaccm

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,752
16,513
Kwa Mtazamo wangu Nishani nyingi zilizotolewa ni kwa ajili ya vyeo na Uzee , kwamba wengi waliopewa ni kwa sababu ya kufika uzeeni bila kufa na labda kwa vile wana vyeo tu .

Kwa mfano , Malecela na Gharib Mohamed Billal wanapewa nishani kwa lipi ?

Ni vema Wapinzani hawakupewa , hii ni bora zaidi kwao na ni heshima , Nishani hizi hazina maana yoyote na kwa kweli ni vigumu kujua walichofanya waliotunukiwa zaidi ya kuishi umri mrefu
 
Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo

Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa kitapeli wa miaka 60

Nataka kujuwa kigezo Cha kutunikiwa nishani ni nini?

Pia Soma
- Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Serikali ya CCM ni janga la taifa
Mzazi wa ubaguzi nchini ni hiki chama tawala
 
Back
Top Bottom