GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 388
- 477
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza katika uongeaji hakuna ishara ya mdomo kuzungumzia chini linatairi pili macho yake yametazama sehemu Moja tu
Watanzania tusijekushangaa tunaambiwa limenunuliwa billioni 2 hadi 3.
Sisi kiteknolojia bado sana ukilinganisha na nchi za wenzetu, sio kwamba hatuwezi kumake changes ila tuna viongozi wachumia kivulini.