Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

Ni fikiria waliwazanini kufanya hivyo sielewi
Kwasababu wanaccm wa watanganyika ndio wanashurutisha huo muungano uendelee kuwepo. Yaani kama mwanamke hakutaki na ww ukawa unamlazimisha, ni lazima akupe mashati magumu ya kukukomoa. Mtu yoyote mwenye akili timamu akiamua kufuatilia huu muungano atajua ni uhuni wa wazi.
 
Zanzibar inatakiwa iongozwe na mwenyekiti wa mtaa tu hamna haja ya kuwa na Rais, mawaziri wala mbunge ukipiga filimbi nchi nzima wanakuskia
Ifike wakati wakae kivyao tuone kama wataweza kuwahudumia hao wabunge 51
 
Wa kuchaguliwa majimbo......wengine wanaongezeka kwa teuzi kutoka baraza la wawakilishi n.k
Zanzibar wana wabunge 80
wapiga kura 500,000

Temeke ina wabunge 6
wapiga kura 1.2 milion

80 dhidi ya 6

Tanganyika hatutaki tena kufanywa mazezeta!
Hatutaki huu Muungano, unatugharimu
 
Back
Top Bottom