Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,284
- 30,850
Ndo maana kwenye thread inayotrend nisipomuona mwamba raraa reree ajalike mwishoni mwa page ya kwanza naanza kushtuka nini kimemtokea na kumtag. Ila alishaniambia weekends hayupogo sana jamvin.
Yeah,unyirambani ndo homenawe unakuja kwa speed kali mno aisee, si wa kukubeza hata kidogo maana hili jina nakutana nalo sana pia.
kilimba jembe la kinyiramba au sio?
Dislike kwenye kila comment iwe nzuri au mbaya ye ni dislike tu... watu walilia huku na thread kibao kuomba jamaa apigwe BAN ya maisha.Aahaaaaa,mrudishe mkuu
Yule jamaa alikuwa nomaDislike kwenye kila comment iwe nzuri au mbaya ye ni dislike tu... watu walilia huku na thread kibao kuomba jamaa apigwe BAN ya maisha.
Namleta aiseYule jamaa alikuwa noma
raraa reree salute mkuu unatisha sana kwa like zakoHuu ni moto wa gesi, nawajua kina Extrovert , Joseverest , Leejay49 , GENTAMYCINE lakini huyu wa kuitwa raraa reree ni next level.
Ni kama vile huyu raraa reree ni roboti kasetiwa ku like post
naona na moto wake wa ku comment sio wa kitoto, kwa leo tu pana comments kama 40 hivi, likes ndio usiseme, ni fayaaa!!!
Aloooo 😂Nina approach ya kufikia december mwaka huu niwe among the best top 20 members of jamii forums na hili linawezekana
Jamani nyie watu khaa🤣🤣🤣🤣🙌Ah umenikumbusha huyo, yupo kwenye nyuzi kadhaa na akiamua kuingia humo ndani anaweza kujibu kila mtu fasta fasta tena kwa comments zenye maneno mengi utadhani anaongea kwa kuandika
Anapata wapi huu muda?Kuna moja anaitwa Leejay49 anawahi kucomment kila nkufungua thread nakuta comment yake
Yap hii mwenyewe inanushangaza kwakweliNdo maana kwenye thread inayotrend nisipomuona mwamba raraa reree ajalike mwishoni mwa page ya kwanza naanza kushtuka nini kimemtokea na kumtag. Ila alishaniambia weekends hayupogo sana jamvin.
Oiyaaa Bantu Lady kule sijakuona leo nilisahau kukutag na wewe una nafasi yako ya kipekee kuleeee 🤣🍻raraa reree 🌹 chukua maua yako broh.
Tusimshau mwanzilishi wa hizi kazi mkwepu jr popote ulipo, siku zote mimi ni chawa wako 🙏
Aloooooooooo.Aloooo 😂