Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,962
- 9,506
Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
Ngoja mashekhe na wenye elimu ya madras wajeTunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
View attachment 2993084
Ni wapumbafu pekee wanaochukulia hizi dini kwa userious,hizi ni lroject za wajinga aliokosa majibu ili kujipa matumaini na kupata wafuasi..dini ni silaha ya kumtawala mwanadamu
Kwa sababu hakuna ushahidi unaonyesha kua ilishushwaRasta kujuaje kama Qur'an haijashushwa?
Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.Kwa sababu hakuna ushahidi unaonyesha kua ilishushwa
I najisemea kvp kuna sauti ya Quran inasema mm nilishushwa au video ineonyesha ikishushwa ?Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.
Anataka ushahidi gani?
Ushahidi sio wa sauti tu na video.I najisemea kvp kuna sauti ya Quran inasema mm nilishushwa au video ineonyesha ikishushwa ?
Maandishi si yanaatungwa n'a mtu kwani si kuna hadith za sungura n'a fisi kua walikua wanaongea ndio km Quran ni uongo mtupu haishushwa ila ilitungwa n'a mtu ili kuwateka wajinga wa kufikiriUshahidi sio wa sauti tu na video.
Hata ushahidi wa kimaandishi upo.
Wewe unaweza kuthibitisha kama Qur'an ilitugwa?Maandishi si yanaatungwa n'a mtu kwani si kuna hadith za sungura n'a fisi kua walikua wanaongea ndio km Quran ni uongo mtupu haishushwa ila ilitungwa n'a mtu ili kuwateka wajinga wa kufikiri
UNauhakika gani kama ilijiandika na haikuandikwa na wajinga wa kale.Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.
Anataka ushahidi gani?
Huyo rasta hajielewi hija zake nyepesi sana.Huyo Mwamba hua namfuatilia sana hua analeta hoja ambazo wafia dini hawawezi mjibu zaidi ya kumtukana tu,
Jamaa anazingua kweli kweli na ni Mzanzibar huyo,
Hua napenda anaposema
'Na huo uongo wenu huo jamaniiiii!
😂😂😂
Hivi unawajua kweli waandishi wa Quran au unadhani likitabu lilishushwa?Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.
Anataka ushahidi gani?
Mm nathibisha kwa sababu ni maandishi km ya hadithi za kutungwa tu kwenye karatasiWewe unaweza kuthibitisha kama Qur'an ilitugwa?
Content zake nyingine ziko wapi?.Huyo Mwamba hua namfuatilia sana hua analeta hoja ambazo wafia dini hawawezi mjibu zaidi ya kumtukana tu,
Jamaa anazingua kweli kweli na ni Mzanzibar huyo,
Hua napenda anaposema
'Na huo uongo wenu huo jamaniiiii!
😂😂😂