Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,094
- 4,413
Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu?
Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka adui yao akitupa bomu, likachague gaidi liliojificha kwa watoto na wanawake? Hii sjawai kuiona wala kusikia ati.
Hawakumbuki kabisa wao walipoenda kwa Wazayuni kuwalipua na kuwateka wengine huku wakimtukuza mungu wao anayefurahia kuuliwa watu wasio wa dini yake.
Hamasi, tumieni marifa mengine kuwazuwia hao adui zenu wazayuni msikae kulalamika, mtakwisha, shauri yenu
Alikeni na wengine wako huku buza na tandale nao wanasubiri mwaliko wenu, labda wao watasaidia kuwazuia wazayuni hao wasiendelee kuleta maafa zaidi.
Kama hamna njia nyingine, basi inueni mikono juu ishara ya kusalenda, hiyo nayo ni ishara ya kiume.