FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
8,186
11,635
Game on Hapa Taifa.

Watanzania tumejitahidi kufika.

We Love Football.

Tunawashangilia Wasudani
---
Matokeo mengine Madeama 2 - 1 Belouizdad

1701454404169.png


1701454444713.png
 
Bado kuna taarifa kuwa Walinzi wanawazuia watu kuingia kwa Madai kuwa Uwanja umefikisha Idadi ya Watazamaji Al Hilal waliyoomba.

Hii inaleta ukakasi kidogo.

Najaribu kwenda kuona
 
Back
Top Bottom