Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,363
- 4,559
Hello Bazzukulu!
Kukaa maghettoni bila michongo ya pesa ni hatari kwa afya ya uchumi wa jamii na taifa.
Raha ya maisha ni pesa na maendeleo. Huyu Chief Godlove, na Chimakeke ni madoni na misheni inspirers wa mchongo, wna akili fulani hivi ya kuchochea hasira za maendeleo.
Michano yao ya makavu ya kuwatoa vijana maghettoni ni inatia hasira sana vijana ambao hawana ajira, hawana michongo, wana mavyeti tu ya elimu.
Nawapongeza waendelee hivyo hivyo maisha hayajawahi kuwa na ubwete kwenye maisha ili ufike mbali jasho na damu vita tamalaki.
Ni uamuzi ukitaka utamu wa maisha huna budi utokwe jasho au damu au vyote kwa pamoja.
Vijana wakubali kupata elimu na maarifa kwa njia ya majigambo, kubezwa, kuchekwa, haijalishi pokeeni changamoto hizo namna chanya.
Kubweteka maghettoni sio ujanja utaishia na kauli mbiu Ooh sie tupo downtown kitambo, sie malegend wa town, inasaidia nini sasa utakula ulegend, downtown kitambo sio pesa. 🤣🤣🤣🤣
Maisha ni pesa tafuta pesa kila siku usiulize wapi wewe tafuta pesa. Kazi ni pesa na pesa ni kazi.
Hasira ya maendeleo ndio utu vijana amkeni sasa.
Ni hayo tu
Kichwamoto nawasalisha.