Wabongo huwa siwaelewi, gari limeingia nchini 2014 kati ya February hadi May. Kipindi hicho hilo gari mpaka clearance haizidi milioni 6 na nusu. Miaka 10 baadae anauza milioni 6.8. Kisa ni T.i. Ngoja tumtakie kila la heri tu kwenye biashara yake.Ukimpata hata wa 5m nipm nikuongeze 1m
Wananishangazaga sana wabongo.Wabongo huwa siwaelewi, gari limeingia nchini 2014 kati ya February hadi May. Kipindi hicho hilo gari mpaka clearance haizidi milioni 6 na nusu. Miaka 10 baadae anauza milioni 6.8. Kisa ni T.i. Ngoja tumtakie kila la heri tu kwenye biashara yake.
Mfuateni inbox basi. Naamini bei inazungumzikaPamoja na kwamba hiyo gari inaonekana umeitunza lakini kwa bei hiyo bado ni ghali.
Hapo mkuu jiandae usawa wa m 4 hadi 3.5
Duhhhh.Habari wakuu msione nipo kimya Kwa ambao mmetuma post zenu humu na wengine walikuja inbox
Gali limepatwa na majanga wezi waliruka ukuta wakaiba baadhi ya vitu
Taa za nyuma
Site mirror zote
Betri
Regetor na feni zake
Jeki
Show ya mbele
Ila Gali Ina bima kubwa ndio nafuatilia nione itakuwaje
Pole sana kamanda. Nadhani siku ukiona mwizi anachomwa hutamuonea huruma. Hata hao wanaowachoma moto wanakuwa kwenye mazingira kama hayo hayo ya kwako.Habari wakuu msione nipo kimya Kwa ambao mmetuma post zenu humu na wengine walikuja inbox
Gali limepatwa na majanga wezi waliruka ukuta wakaiba baadhi ya vitu
Taa za nyuma
Site mirror zote
Betri
Regetor na feni zake
Jeki
Show ya mbele
Ila Gali Ina bima kubwa ndio nafuatilia nione itakuwaje
Mwizi wako hata hatoki mbali. Lazima atakuwa ni yule mwenye ufahamu na hiyo gari. Kama uliwaleta mafundi, madalali, nk. kuja kulikagua hilo gari, basi na mchakato wa wizi wa hivyo vifaa ulianzia hapo.Habari wakuu msione nipo kimya Kwa ambao mmetuma post zenu humu na wengine walikuja inbox
Gali limepatwa na majanga wezi waliruka ukuta wakaiba baadhi ya vitu
Taa za nyuma
Site mirror zote
Betri
Regetor na feni zake
Jeki
Show ya mbele
Ila Gali Ina bima kubwa ndio nafuatilia nione itakuwaje
Hiyo nayo imo. Unaweza dhani ni madalali kumbe wanachora mchoro wa wiziMwizi wako hata hatoki mbali. Lazima atakuwa ni yule mwenye ufahamu na hiyo gari. Kama uliwaleta mafundi, madalali, nk. kuja kulikagua hilo gari, basi na mchakato wa wizi wa hivyo vifaa ulianzia hapo.
Pole mkuuHabari wakuu msione nipo kimya Kwa ambao mmetuma post zenu humu na wengine walikuja inbox
Gali limepatwa na majanga wezi waliruka ukuta wakaiba baadhi ya vitu
Taa za nyuma
Site mirror zote
Betri
Regetor na feni zake
Jeki
Show ya mbele
Ila Gali Ina bima kubwa ndio nafuatilia nione itakuwaje
Kihasibu huo ni lossWauzie kwa milioni 2
6M hapati hata aonge njia panda.Wabongo huwa siwaelewi, gari limeingia nchini 2014 kati ya February hadi May. Kipindi hicho hilo gari mpaka clearance haizidi milioni 6 na nusu. Miaka 10 baadae anauza milioni 6.8. Kisa ni T.i. Ngoja tumtakie kila la heri tu kwenye biashara yake.