Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki

Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.

Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea

Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia utetezi.

Pia soma
- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!

- Hatimaye Malissa na Boniface Jackob waachiwa kwa dhamana
wakawajibike ipasavyo sasa waache kutia huruma :whatBlink:
 
QUOTE="Benjamini Netanyahu, post: 50163673, member: 239258"]
Muliro ni mtu wa hovyo haswa
[/QUOTE]
Wakistaafu wanatia huruma sana
 
Kwa jinsi Malisa alivyokuwa anatetemeka pale Kisutu, mfanowe Jenereta la mwaka 1947, kweli tutambe nyumba ya key board tu
 
Picha la kutisha

Screenshot_2024-05-06-16-09-58-1.png
 
Back
Top Bottom