Bilionea ni mtu mwenye hela sana, akikupa million 200 hapati gepu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,947
45,930
Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
 
Hujawahi kuwa na marafiki au karibu na watu wenye hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom