Best Male Likes Giver Award goes to

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,342
34,035
mkwepu jr

Huyu jamaa azawadiwe hiyo tuzo na atambulike kuwa ndiye memba anaye mwaga likes kuliko members wote humu.

Kama unabisha andika jina la memba mwingine ambaye unadhani anamwaga likes kwa kila comment ama thread anayokutana nayo.

Weekend njema wote ambao mmeshaanza kulewa.

Weekend njema wote ambao bado mnavutana kuhusu sehemu ya kwenda kumwagilia mioyo yenu.

Weekend njema kwa wote mnaopanga kuchepuka na kusaliti mahusiano yenu.

Weekend njema kwenu ambao tayari mmesha tiwa mikononi na ibilisi kwaajili ya kufanya chochote kila kilicho kinyume na hali ya kawaida.

Tchao
 
Back
Top Bottom