Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,570
- 1,529
Habari
Kwa eneo nililopo bei ya jumla ya kununua vocha imepanda kutoka Tsh 960/= kwa vocha ya 1000/= kwenda Tsh 970/= kwa Vocha ya Tsh 1000/=
Hivyo ukinunua Vocha Pc 10 Tsh 9700/= wanakuachia 300/= sawa na Tsh 30/= kila vocha
Hali imekua ngumu kwani bei elekezi ya Kuuza Vocha ni aidha Tsh 500/=, 1000/=
Baadhi ya wafanyabiashara wasiotaka utani wanauza vocha ya 500 kwa 600, ya 1000/= kwa 1100/=
Vipi huko mliko hali ikoje?