Azam, Azam Udini utawaharibia

Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
 
Kama huwezi kusoma kwanini uwe msomaji?
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Unaijua tasnia ya habari hata kwa bahati mbaya,

Yani news anchor ashindwe kutamka maneno rahisi namna hiyo ?...

Hata hivyo binafsi yangu siwezi kuchukulia vitu kama hivyo serious ila kama mtangazaji alishindwa kutamka maneno rahisi hivyo bhasi Azam kuna walakini kwenye hiring process yao
 
Ila upande wa Tv Azam hawana udini aisee mi naweza nikakutajia majina ya wakristo pale hadi ukachoka kuanzia asubuhi hadi jioni
Huyo labda kakosea kutokana na uwezo wake mwenyewe wa kuelewa mambo ila udini hapana Azam wakristo wengi sana
1.Hilda Foya
2.Mercy
3.Ivona
4.Tido
5.kale kajamaa kanatangaza na Foya
6.Paschal kabombe
Ni wengi sana kina Nyembela
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
azam hawana udini acha uongo wako,wanaajiri wakristo na waislamu tena kwenye vyeo vya juu kabisa
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Mkuu Hakuna udini kwenye kumtaja Maria kwa sababu kuna msikitini upo UAE nahisi uko Abu dhabi unaitwa Msikiti wa Mary mother of jesus..
Na kwenye Quran kuna Sura ya Mariam nzima kabisa..
Mary-1.jpeg

images - 2023-11-15T091257.591.jpeg
 
Hapo udini unakujaje? Hivi unadhani kusoma taarifa ya habari ni jambo la mchezo? Umewahi hata kusoma risala wewe??
Si ndio maana walisomea mkuu,

Ukimtoa mtaani akasome habari utamuonea ila kwa mtu aliesomea na kufanya practice kiasi cha kuaminiwa na Media group inayojali quality ya habari kama azam,

Maneno kama hayo si ya kuona yana ugumu wowote

Mbona kuna watangazaji wengi ni wakristu lakini wakikutamkia maneno ya, kiarabu utafurahia..

Uzuri wa habari zote hawazikuti studio tu, wanakuwa nazo ili kupractice mapema haswa kwa maneno hawapo familiar nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom