Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,930
38,911
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea Muwekezaji, Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba SC.
.
Ameongeza kuwa ni kawaida ya Binadamu haoni umuhimu wa neema aliyokua nayo mpaka iondoke.
.
Amewataka wana Simba kumtetea na kumlinda Mohamed Dewji juu ya wale wote ambao wanamuona hafai wakati ndiye aliyeifikisha Simba hapa ilipo.
.
Kubwa zaidi amesema hiki ndicho kipindi ambacho Simba inamuhitaji zaidi Mohamed Dewji kuliko kipindi chochote na kufanya vibaya kwa Simba kwa misimu miwili mitatu isiwe sababu ya kufuta yote mazuri yaliyofanyika.

π“πšπ£π’π«π’ 𝐚𝐩𝐞𝐩𝐞𝐰𝐞
 
Tajiri apepewe 🀣🀣
 
wachezaji wameshaichoka timu ya masabuni Fc
FB_IMG_17106874684630038.jpg
 
...Amewataka wana Simba kumtetea na kumlinda Mohamed Dewji juu ya wale wote ambao wanamuona hafai wakati ndiye aliyeifikisha Simba hapa ilipo.
hakika nakubaliana naye kuwa MO ameifikisha Simba kwenye hii aibu kubwa ya karne.
Kubwa zaidi amesema hiki ndicho kipindi ambacho Simba inamuhitaji zaidi Mohamed Dewji kuliko kipindi chochote na kufanya vibaya kwa Simba kwa misimu miwili mitatu isiwe sababu ya kufuta yote mazuri yaliyofanyika.

π“πšπ£π’π«π’ 𝐚𝐩𝐞𝐩𝐞𝐰𝐞
Simba inahitaji zaidi kulinda heshima yake na kuendeleza furaha ya soka kwa wapenzi wake, Mambo ya kumpepea tajiri ndiyo yametufikisha hapa.

Tajiri anaiacha ama kuchangia klabu ianguke kisha tuendelee kuamini ni mwenzetu?

AKWEENDREE
 
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea Muwekezaji, Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba SC.
.
Ameongeza kuwa ni kawaida ya Binadamu haoni umuhimu wa neema aliyokua nayo mpaka iondoke.
.
Amewataka wana Simba kumtetea na kumlinda Mohamed Dewji juu ya wale wote ambao wanamuona hafai wakati ndiye aliyeifikisha Simba hapa ilipo.
.
Kubwa zaidi amesema hiki ndicho kipindi ambacho Simba inamuhitaji zaidi Mohamed Dewji kuliko kipindi chochote na kufanya vibaya kwa Simba kwa misimu miwili mitatu isiwe sababu ya kufuta yote mazuri yaliyofanyika.

π“πšπ£π’π«π’ 𝐚𝐩𝐞𝐩𝐞𝐰𝐞

Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili.
.
Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea Muwekezaji, Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba SC.
.
Ameongeza kuwa ni kawaida ya Binadamu haoni umuhimu wa neema aliyokua nayo mpaka iondoke.
.
Amewataka wana Simba kumtetea na kumlinda Mohamed Dewji juu ya wale wote ambao wanamuona hafai wakati ndiye aliyeifikisha Simba hapa ilipo.
.
Kubwa zaidi amesema hiki ndicho kipindi ambacho Simba inamuhitaji zaidi Mohamed Dewji kuliko kipindi chochote na kufanya vibaya kwa Simba kwa misimu miwili mitatu isiwe sababu ya kufuta yote mazuri yaliyofanyika.

π“πšπ£π’π«π’ 𝐚𝐩𝐞𝐩𝐞𝐰𝐞
Comments reserved
 
Back
Top Bottom