ushamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Video: Ni ushamba uliopitiliza kuwashangaa Wazungu na kuwasumbua, ni kujishusha sana thamani

    Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi. Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k. Huku ni kujishusha thamani.
  2. GENTAMYCINE

    Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  3. B

    Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  4. M

    Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

    Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA. Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na...
  5. Half american

    Huu ni ujanja au ushamba?

    Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi. Back up plan ni muhimu sana.
  6. M

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Habari za jioni Wana JF, Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni. Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa wanaona iPhone ndo simu Bora kuliko simu zingine na kuzidharau hizi brand nyingine za simu. Mimi si...
  7. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

    Akimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
  8. ITR

    Yanga songeni mbele acheni ushamba

    Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa. Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili...
  9. Jidu La Mabambasi

    Misafara na vimulimuli: Ushamba wa kisiasa

    Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia. Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli Ajali msafara wa Mkonda huko kusini Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu...
  10. J

    Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Ukifuatilia kile kinachoitwa ujanja wa mjini ndio ushamba wenyewe

    UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo. Taikon ni mtu...
  12. Mjanja M1

    Madee: Ni ushamba kupiga mwizi

    Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi. “Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga huyo mwizi then mnamchoma moto baada ya hapo unakua umefaidika na nini”. “Wote wanaompiga mwizi...
  13. Zanzibar-ASP

    Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

    Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo. Moja ya vitu vya kipuuzi kabisa ni msururu wa msafara wa magari ya kifahari kwenye ziara za viongozi duni wa nchi za kiafrika...
  14. Zanzibar-ASP

    KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  15. sky soldier

    Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
  16. I

    Serikali iache ushamba kwani ingetangaza makamu wa Rais Mpango yuko nje nini kingetokea?

    Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
  17. Erythrocyte

    Kocha wa Yanga akataa ushamba

    Hii hapa ndio kauli yake
  18. Wadiz

    Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  19. sky soldier

    Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri. Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri...
  20. Lord denning

    Inawezekana Ushamba na Ujinga zikawa moja ya vyanzo vikuu vya Umaskini wetu

    Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu. Habari ya mji hapa ni mji wa kisasa wa kiteknolojia na starehe unaojengwa kutokana na mawazo ya Prince Mohammed Bin Salman ambaye hapa Saudi yeye ndo Crown Prince yaani Mkuu wa...
Back
Top Bottom