tozo za miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OLS

    Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

    Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24 Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
  2. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  3. R

    Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  4. BARD AI

    Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  5. M

    Ukistaajabu ya tozo za mabenki utaona tozo ya kuongeza salio kwenye laini za simu

    Mwigulu Nchemba na tozo nyingine tena. Tozo hii ni tozo ya laini ya simu. Yaani Ukiweka vocha tu kwenye simu yako wanakukata Tozo, licha ya ukweli kwamba kila ukiweka salio kwenye simu yako unakatwa kodi ya asilimia 18 ya VAT. Halafu Mwigulu Nchemba anakuja na habari zilezile za kodi ikajenge...
  6. BLACK MOVEMENT

    Watanzania, hivi hamjajua tatizo ni Wabunge na si Mwigulu?

    Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu. Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona kosa la jamaa, bali kuna wale wapiga meza mkofi wale ndio watu wa kulaumu. Mara nyingi wamekuwa...
  7. M

    Fahamu Tozo za Miamala ya Simu Ilivyochangia Maendeleo Katika Taifa

    1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu. 2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja. 3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila...
  8. The Sunk Cost Fallacy

    TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  9. Mystery

    Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  10. J

    Waziri Nape: Kuna tofauti Kati ya Tozo na makato ya miamala ya benki, Tozo za miamala ya Simu tumezipunguza kwa 50%

    Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya...
  11. Roving Journalist

    Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  12. C

    Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
  13. LUS0MYA

    Tozo/kodi kwenye miamala ya Benki kuweka na kutoa inalipwa pia na mabenki

    Mwaka 2014 serikali ilitengeneza sheria ya kodi excise duty ambayo mabenki yanatakiwa kulipa 10% ya charges wanazokusanya kwa wateja wake katika kutoa huduma ikiwemo uwekaji na utoaji fedha na sheria hiyo iliweka angalizo kuwa hii 10% ilipwe na benki na sio mteja kwa lengo la kuzuia kubadilika...
  14. 2019

    Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

    Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza? Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa...
  15. RWANDES

    Tozo za miamala zimekuwa kero kwa wananchi, serikali imeshupaza shingo

    Ni kilio cha kusaga meno kila kona ya nchi tozo imekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi kila kona wanalia hata hivyo baadhi ya wafanyakazi wa umma hasa manesi na walimu wanalalamika sana kuona wanalipa kodi huku tena kuendelea kukatwa fedha zao zaidi ya maratatu kupitia tozo ambazo imeweka serikali...
  16. LUS0MYA

    Utafiti wa GSMA ulionesha athari kubwa ya tozo za miamala ya simu

    Taarifa ya utafiti ndani ya miezi sita ya uanzishaji wa tozo kwenye miamala ya simu umeleta athari kubwa kwenye mifumo ya fedha ambapo miamala ilipungua kwa zaidi ya 53% lakini pia kulikuwa na upotevu wa ajira kutokana na kufungwa kwa vibanda vya kutolea huduma. Kibaya zaidi mapato ya Serikali...
  17. Pearce

    Wasiishie Tozo, waweke kodi ya Uzalendo na ya Kichwa

    Mihamala ilipopungua ya Simu, Wananchi Sikivu wakaweka pesa Bank. Sasa Bank Mmefuatwa wananchi Sikivu, mtu anakatwa matozo na maelezo ya kutosheleza. Sasa Wananchi wanahamia Kwenye Vibubu Nyumbani sasa kutokana na hali ya maisha kwasasa na kurudi kwa wimbi la Vibaka wanaovunja nyumba za watu...
  18. Linguistic

    Tozo zimekuwa nyingi sana kwa sasa

    Wakuu hivi hizi tozo za miamala kwenye bank, tozo kwenye tigo pesa, tutanyooka nasema. Ila mshauri wa uchumi wa nchi hii ni kiboko pamoja na bunge pia kama walikaa na kupitisha hili. Naamanisha kwamba ni maaumivu, hawa wabunge ni wabinafsi, kwa ufupi hawapo kwa ajili ya wananchi, ni wakati sasa...
  19. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
Back
Top Bottom