Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi.
Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli.
Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
Hii ndio imani yangu kwasababu sio kila mtu anapenda dhuluma, unyonyaji na wizi wa kiwango hiki. Isitoshe, wako ambao watakuwa hawajapata mgao na hawa hawatakii kimya.
Tusisahau pia vita ya kisiasa baina ya wanasiasa wenyewe wa humu ndani kuelekea 2025, hivyo lazima walipuane na wapinzani ndio...
Mashabiki wa bayern munich wanalalamika Sadio Mane haonyeshi kile alichokifanya Liverpool kwa miaka mitano
Ila kwa watu wa mpira tulimuona Sadio Mane msimu wa mwisho akiwa Liverpool alikuwa hoi na taabani uwanjani
Hakuna mtu aliyeniboa km Sadio Mane kwenye fainali ya madrid na liverpool uefa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.