Aliona na kujua unachotaka kufanya. Wanawake walioharibu life huwa hawapendi kuona mabinti wadogo wanatengeneza maisha na mtu ambaye wao walitamani awatongoze wao.
Kama huyo akikuharibia makusudi ili huyo binti akose na wewe ukose yeye ndio ajiskie vizuri. Wanakuwaga mabwege kweli.
Uzuri ni kwamba hakunaga viongozi wapumbavu kihistoria waoishawahi kuwafurahisha wanainchi na ndio maana baba wa taifa mwalimu J.K Nyerere alishawahi kusema kuwa kama unajiona hauna uwezo wala akili na utashi wa kuwa kiongozi muadilifu then ikulu upaone kama ukoma na upaogope.
Wao wanahisi...
Me nadhani ndugu zangu mnaoshikamana na imani ya kiislam ni wakati sasa wa kuwaumbua na kujitenga mbali na hawa wanavikundi vya wavuta misokoto ya bangi kwa kutumia kurasa za Quran takatifu.
Nina walaumu kwanza ninyi sababu ninyi wenyewe hampo mstari wa mbele kukemea jambo ambalo linadhalilisha...
Njoo Dm unambie details zako kuanzia umri, elimu, mahusiano yako, kama una watoto au la.
Kama utakuwa vema nikuweke kwa kadada fulani hivi kapambanaji sana ambako kamechelewa kuwa na mahusiano now kapo desperate.
Zinafaa mradi tu wakati unazipika ukaangie na kitunguu swaumu cha kutosha kama utaweka nyanya.
Na hata maharage unatumia fresh tu ila make sure unaweka kitunguu swaumu cha kutosha. Sio vipeke vitatu, hapana.
Nazungumzia weka vijiko viwili vikubwa vya chakula kwenye sufuria wakati unakaangiza...
Wataalamu gani tulio nao? Hawa wataalamu ambao mzungu akisema kuna chanjo ya Umasikini watairukia na kuipigia chapuo harakaharaka bila hata kujitathimini wao wanalinda afya za watanzania au wanafanya uwakala wa mipango ya kiafya ya mataifa ya magharibi?
COVID-19 chanjo zake zimeprove kuwa na...
Ukitongoza tu mwanaume umeharibu sababu itampa maswali sana kuwa wewe ni mwanamke wa aina gani unafuata mwanaume na huko ulipotoka umetongoza wangapi?
Kimsingi jitahidi sana kuweka nae ukaribu ila sio kumtongoza wacha yeye afanye hiyo kazi.
Nitakupa mfano, upo ofisini na ume mspot mkaka ambaye...
Kwa maana nyingine unasema kwann watu perfect hawakutani kwenye mahusiano. Its simple. Dunia ina operate kwa namna ya kipekee sana kwamba mwenye mapungufu akutane na mwenye ukamilifu fulani ili waboreshane sababu hata huyu mkamilifu atakuja mhitaji huyu wa mapungufu kwenye maeneo fulani huko...
Oooooohooooh baba usituletee matatizo huku. Hawa wanawake wetu wa kikatoliki muwaache kwanza hawana mapepo na huku hatuna mambo ya mapepo usije ukatuletea walokole huku wakatuletea majini ya mwamposa.
Hebu mtuache. Kwanza nikasali novena sasa hivi.
Sasa si ndio maana halisi ya mwanaume kutawala? [emoji23][emoji23][emoji23] Kimbele mbele chako kutafuta hela kinamzuia yeye nini kuwa mtawala wa mema ya huu ulimwengu.
Kushare gharama sio kuomba kulelewa. Mwanaume kutaka mgawane majukumu haimaanishi anakutegemea it means anatambua mchango wako wa kiuchumi kama haupendi hilo mwambie tu usitoe kwa moyo wa lawama. By the way sasa kama unataka akufinance kwa 100% why unakwenda kutafuta si utulie ndani yeye...
Mojawapo ya kikwazo ni pale mwanamke anapokuwa ana experience kujamiiana badala ya kufanya mapenzi toka kwa the so called mume wake.
That's one of the important skills package kwa mtoto wa kiume kujifunza ni kuwa romantic na mbunifu. Kuanzia majina unayompa mwanamke wako kama a.k.a's mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.