Ajali imetokea muda huu katikati ya Kimara Stop over na Suka eneo la Garage. Ni kwamba bus linatokea Dodoma na lory la cement vimegongana uso kwa uso na magari yote yameungua moto na vichwa vya watu vinapasuka kwa mlio kama bomu!
Tuombe Mungu atujalie mwisho mwema
Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola.
Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
Madai
Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
Imeripotiwa leo tar, 18/08/2022 magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji.
TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa kutosha kwa uzalishaji na meneja wa kiwanda amedai wanatumia zaidi ya milioni 500 kwa mwezi kununua dizeli...
Mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili.
Aidha inaelezwa kuwa haijafahamika mpaka sasa Piere anasumbuliwa na ugonjwa gani.
Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu.
Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.